Nyashinski – Balance

Nyashinski – Balance

Marathon runner“, In which he also got himself a spot on Patoranking Wilmer album called “Nakupenda“.

The music was produced by Cedric “Cedo” Kadenyi.

Listen Up!

DOWNLOAD: Nyashinski – Balance

(Verse 1) Ok Million dollar dreams Za kuishi kwa million dollar cribs Stakes are too high I can’t quit Practice piga mpaka istick I’m so much cooler than you think Nasisitiza mpaka isink Hiyo kitu unatafuta iko hapa hivi Hii ni mixture ya Tupac na tai chi Ok Ni si kwa driver’s seat Ukiona tunapita unadai lift Na white ikifichwa hutaona kitu Najijua ndo maana na insist Shinchillah

(Chorus) We are the best of the best Success permanent Uko na sisi ama bado unalala Uko na sisi ama bado unafake Hustle now I’ll rest when I die See me win See me win Uko na sisi ama bado unalala Uko na si tukienda wowowo

(Verse2) Kwa mahustler wangu kuna different ways Kwa masiku mbaya kuna better days Upcoming anaenda kuwa major paid Kwa madame wadaku atakuwa razor blade Ukiulizwa nani ako incharge si ni sisi Hii box ukiingizwa unabaki kaa kibiriti Hapana sita sita hizo namba za ibilisi Na kaa tunakeep it 1 hunna Mi ni gwiji Hapa ndo mnajionea mbona hii trophy siukeep You know the drill naenda in too deep Piga madeal no time for sleep Shine mpaka waone wananeed kuquit Show stopper None better Kaa uko sure mathako alizaa go getter Lyft up your hands tuna win for ever The best usiwai forgetta Balance (Chorus)

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here