Paul Clement Ft. Melisa John – Kiapo

Paul Clement Ft. Melisa John – Kiapo

Paul Clement Ft. Melisa John – Kiapo Mp3 Download

Tanzanian gospel singer Paul Clement link Up with Melisa John on this classic wedding song aptly titled “Kiapo

Kiapo ni wimbo ambao umeandikwa na PAUL CLEMENT na kuimbwa na PAUL CLEMENT na MELISA JOHN na kurekodiwa studio ya fisher records na kufanyiwa mixing na John Marco. Wimbo huu ni maalumu kabisa kwa ajili ya mke wake Anna Madaha.

Kwa Moyo mweupe kusikiliza wimbo mpya,Nimaombi yangu mara baada ya kusikiliza utasambaza wimbo huu kwa watu wengi uwezavyo.Art By Maja Panja.

Listen Up!

DOWNLOAD: Paul Clement Ft Melisa John – Kiapo

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here